Watu wa humu JF nimewanyooshea mkono



Hii ni hali ya "rich girls/boys problems"

Mtaani tunaendelea ku-enjoy kigugumu hivyo hivyo amid maudhi

Yani JF hii hii inipe msongo na kuniwazisha labda mimi sio jasusi cohen

Yani humu bila kuishi double life utateseka sana, nashangaaga watu wanaonikaga hisia zao nyeti humu. Ishi kama haupo humu, unakuta mtu aanaaomba ushauri wa ndoa wakati wapiga puli ndio wamejazana kwnye TL yake🀣
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…