Kiyoya JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,775 Reaction score 994 Jun 2, 2014 #1 Inatisha Attachments IMG-20140602-WA0000.jpg 80.5 KB · Views: 503
decomm JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 726 Reaction score 668 Jun 2, 2014 #2 Malizia habari yako, picha tayari
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 Jun 2, 2014 #3 Nini kilijiri? BTW mikoa yote ipo hivyo.
Kiyoya JF-Expert Member Joined Apr 3, 2012 Posts 1,775 Reaction score 994 Jun 2, 2014 Thread starter #4 Hiyo imetokea leo arusha Kuna mama alikuwa anaporwa jamaa alipokuwa akimsadia kauawa -Ooh ndugu RIP
Threesixteen Himself JF-Expert Member Joined Feb 12, 2013 Posts 8,351 Reaction score 8,088 Jun 2, 2014 #5 ! ! dah noma sana
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 699 Jun 3, 2014 #6 Kiyoya said: Hiyo imetokea leo arusha Kuna mama alikuwa anaporwa jamaa alipokuwa akimsadia kauawa -Ooh ndugu RIP Click to expand... polisi walikuwa wapi? na hao waporaji walikamatwa kweli? dah jamani!! pole wafiwa!!
Kiyoya said: Hiyo imetokea leo arusha Kuna mama alikuwa anaporwa jamaa alipokuwa akimsadia kauawa -Ooh ndugu RIP Click to expand... polisi walikuwa wapi? na hao waporaji walikamatwa kweli? dah jamani!! pole wafiwa!!
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Jun 3, 2014 #7 ...mbona duniani kote yapo matukio kama hayo,sio A town tu,so dont be biased kwenye heading yako...
Wapoti JF-Expert Member Joined Aug 28, 2013 Posts 2,824 Reaction score 1,100 Jun 3, 2014 #8 Kumbuka pia majambazi yaliyofanya hivyo yaweza kuwa sio ya Arusha bali huko uliko wewe au sehemu nyingine
Kumbuka pia majambazi yaliyofanya hivyo yaweza kuwa sio ya Arusha bali huko uliko wewe au sehemu nyingine