Watu pori - Ulibisha hodi

Watu pori - Ulibisha hodi

NGAYANIMO

Member
Joined
Feb 17, 2026
Posts
42
Reaction score
58
" WATU PORI "- ULIBISHA HODI
BONGO RECORD

Intro :

Yeah.
ulibisha hodi
Oooh ..!! Aaah..!!
Nikafungua
Yeah..!!!
Ulibisha hodi
Ng'o..!!! NG'o..,!!

Verse.. 1 " Dogo Ditto"

Kinachoniumiza ni Huyo Mtoto/
Maana Mtoto Sio jambo dogo/
Nilimtafuta bwana Mungu Akanipa/
Hakika Sasa Naipata Chungu katika katika/
Katika Maisha Yangu Me Sikupenda kuwa Mbali na Mwanangu/
Haya Maumivu Yangepoa kwa Ganzi ningeongeza Kidogo/
Uuuuh..!! Uuuuh..!!
Oooh..!! Ooooh..!!
Uvumilivu Umenishida Najitenga Pembeni/
Ili Niepushe Zogo/
Oooh!! Ooh!!
Uuuuh..!! Uuuuh..!!
Kwenye Kusaka Amani nimepata Huzuni Mie sioni kimbilio,
Hapa nilipo Taabani/
Ninapokwenda sipaoni Hoi mwana mwezio/
Najua, Umeumbwa na Huruma/
Asili Yako Toka Mwanzo siku Dunia ilipoumbwa/
Umeumbwa na Upendo/
Sijatambua , sijajua umepata Wapi.? Mpango Huo/
P funk majani anasikitika na kwa mkono wake ananipa Hisia..!!!
Yah..!!!
Aaah.!!!

Chorus:

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndo kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniangukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio, kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniangukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi , ulipiga hodi
Ulibisha hodi, Nikafungua

Ulibisha hodi , ulipiga hodi
Ulibisha hodi, Nikafungua

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndo kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniangukuia
Oooh..!!

Verse.. 2 Emcee Koba

Hao hao walosema kisamvu Mbonga , Muhongo ndo Uwe chakula , Mbegu/
Na ifanywe Kuni mwoga anapona Vitani shujaa anapoteza poteza anapoteza Maisha/
Hao hao lisemwalo Lipo lajongea kama halipo sio tu story za kubuni kufoji foji kihuni ubaya Mwisho , Mwisho Aibu inakuaibisha/
Hao hao Vunjika guu kama husikii la mkuu , dogo unazama motoni niliambiwa Toka Mwanzoni
wouwoh
Yeah..!!yeah..!!
Mi nilikaidi/
Nikahisi Watu wanaona Wivu nnavyo Faidi/
Imani zaidi/
Ibilisi Kwetu hana chance bila Ushahidi/
Ushahidi , bila Ushahidi/
Nilijitoa kwa Yote/
Eeeh..!!
Me sikuficha chochote/
Eeh..!!
Nilijitoa kwa Yote kwa udi na uvumba sikuficha chochote/
Aaah..!!
Panapo mzoga ndipo hukusanyika Tai/
Tai!!
Hapo nilipenda niliitwa Bingwa Sikatai/
aih.!!
Umeshanitenda niache Tu nilinde Uhai Dreva/
Huwa hakomai na gari kama Gari halimfai/
Fai...!!!
Sio peke Yangu , Sio mageni ulimwenguni mwote/
Hata Wezangu lilishakuwa Tatizo la wote/
Kama Binadamu Mwenye hekima
Sishangai..!!
Sishangai..!!
Sishangai..!!
Aaaah..!!!

Chorus:

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi , ulipiga hodi
Ulibisha hodi, Nikafungua

Ulibisha hodi , ulipiga hodi
Ulibisha hodi, Nikafungua

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Ulibisha hodi me nikafungua
Aaah!!!
Moyo Wangu nikakupatia
Aaah!!
Kilio ndio kimenishukia
Aaah!!!
Ulimwengu Umeniang'ukuia
Aaah..!!

Yeah.. ulibisha hodi
Oooh Aaaah nikafungua

Yeah.. ulibisha hodi
NGo..!!! NGo..!! NGo.!!

Autro: P'funk Majani

"Nilikuwa kama Nyumba , ukabisha hodi , Nikafungua
Sijadai hata kodi OK !!
Imebidi ndo Maisha Amna cha Zaidi"

Kwa upande wangu nilimuelewa zaidi Mc koba kuliko Dogo ditto hii ndo Generation ambayo tulienjoy fleva na test nzuri kutoka kwa producers..!!

Producer khalifani a.k.a majani ndio producer aliyefanya intro na utro nyingi

Kuna fikra za watu katika fikra zao waliamini bila Afande sele , lameck ditto na Emcee ,,koba sio kitu kumbe watu hawa walikuwa na Uwezo binafsi nje ya crew ya watu pori.

Project inaitwa " Ulibisha hodi" mkono wa producer p Funk majani , producer ambae kafanya makubwa katika industry hii ya muziki wa bongo fleva mtu mzima majani ,a.k.a kinywele kimoja
Kamaliza outro katika wimbo huu,
Ukiachana " na yote maisha" ya madee sikiliza na soma lycris za wimbo huu utanielewa nini namaanisha.

Emcee koba Vs lameck ditto who whas the best.
Please vote..
Emcee koba vs lameck ditto " Dogo ditto
Ukwaju wa kitambo

Katika hii ngoma nampa Emcee koba
.!!
0767542202

,
1775493567455.jpg
 

Attachments

  • unnamed.jpg
    unnamed.jpg
    89.6 KB · Views: 0

Similar Discussions

Back
Top Bottom