Janvansina
Member
- Nov 5, 2025
- 50
- 60
Kwenye maisha watu ni mtaji muhimu sana.
ISAYA 43: 4
Kwa kuwa ulikuwa wa thamani machoni pangu, na mwenye kuheshimiwa, nami nimekupenda; kwa sababu hiyo nitatoa watu kwa ajili yako; na kabila za watu kwa ajili ya maisha yako.
Umeona unaitaji watu Maana mungu hutumia watu kwaajili ya maisha yako. Wewe heshimu kila mtu basi. Lakin pia unapaswa kuwa wa thamani machaoni pa mungu kwa namna gani? Kujiepusha na dhambi