Sifia basi japo kidogo acha roho mbayaUbaya ni kwamba, tikiti huoza ndani ya masaa 48
Usiseme ana kipaji, sema anajua.Aisee huyu jamaa kweli ana kipaji.
si jambo la kubeza, msanii huyu akiwezeshwa zaidi, tutawahi kuishuhudia tz ya viwanda
aliekwambia mbongo ni nanisi jambo la kubeza, msanii huyu akiwezeshwa zaidi, tutawahi kuishuhudia tz ya viwanda
Linatengenezwa vile likiwa tayari kuliwa, kama ilivyo wali wa maua.Kuharibu matunda![emoji30]
Kama ni kwa ajili ya kuliwa angetengeneza maumbo chochezi hasa ya vitu vinavyo run dunia.😛😛😛Linatengenezwa vile likiwa tayari kuliwa, kama ilivyo wali wa maua.
Ukisikia kipaji, basi jua ni zaidi ya kujuaUsiseme ana kipaji, sema anajua.