Mandown JF-Expert Member Joined Apr 8, 2012 Posts 1,665 Reaction score 507 Feb 28, 2013 #21 du hapa ukweli mtupu kabisa, yaani kale ka PAYE, kanatesa sana watumishi...
Kamanda Kazi JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 2,613 Reaction score 798 Feb 28, 2013 #22 grafani11 said: Mkuu unataka Serikali ikale wapi? Inabidi iwe hivyo ili barabara zijengwe, hospitali zifanye kazi, huduma za jamii ziwepo nk. Click to expand... hapana bana wewee... nchi yetu ina raslimali nyingi sana isipokuwa serikali legelege imeshindwa kusimamia kodi na mapato badala yake inawabana watumishi wake na kuwafanya 'manamba'!
grafani11 said: Mkuu unataka Serikali ikale wapi? Inabidi iwe hivyo ili barabara zijengwe, hospitali zifanye kazi, huduma za jamii ziwepo nk. Click to expand... hapana bana wewee... nchi yetu ina raslimali nyingi sana isipokuwa serikali legelege imeshindwa kusimamia kodi na mapato badala yake inawabana watumishi wake na kuwafanya 'manamba'!
Vinci JF-Expert Member Joined Jul 6, 2009 Posts 2,637 Reaction score 675 Feb 28, 2013 #23 ha ha ha....chach serekali itakuwa kapu lote au ni moja moja mkuu kama vile mwananchi anavyoweka moja moja.
ha ha ha....chach serekali itakuwa kapu lote au ni moja moja mkuu kama vile mwananchi anavyoweka moja moja.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 Feb 28, 2013 #24 Ndio siriKali hiyo ...