Soma tena nimeedit mkuu. Hii habari nimecopy toka kwenye moja ya chombo cha habari cha mabeberu bila kuiedit ndio maana mwanzo hujaelewa.Khaaaa, sasa mkuu mbona habari imeanza vzr inafika kati haieleweki?
Anyway labda Ni ule uji niliokunywa asubuhi.
Yani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz.Soma tena nimeedit mkuu. Hii habari nimecopy toka kwenye moja ya chombo cha habari cha mabeberu bila kuiedit ndio maana mwanzo hujaelewa.
Mbaya zaidi wakati huu wenye uwezo wa kununua coin moja ni wa kuhesabu kwa hapa Tanzania.Yani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz
Yani ni kununua tu satoshi kadhaa ukakaa nazo tu.Mbaya zaidi wakati huu wenye uwezo wa kununua coin moja ni wa kuhesabu kwa hapa Tanzania
Itaongeza thamani yake zaidi ya mara mbili within 2 years ilo naamini. Ni sawa na kujutia kwa nini hukununua hisa za TSL wakati inaingia sokoni mwaka janaYani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz
Yah mkuu, nishaanza kununua satoshi kadhaaItaongeza thamani yake zaidi ya mara mbili within 2 years ilo naamini. Ni sawa na kujutia kwa nini hukununua hisa za TSL wakati inaingia sokoni mwaka jana
Sasa tufanyeje mkuu kama kununua bitcoin 1 kwa sasa ni zaidi ya millioni 20? 😀Itaongeza thamani yake zaidi ya mara mbili within 2 years ilo naamini. Ni sawa na kujutia kwa nini hukununua hisa za TSL wakati inaingia sokoni mwaka jana
Hivi Satoshi ni tofauti na Bitcoin? Vipi thamani yakeYah mkuu, nishaanza kununua satoshi kadhaa
Ni kama dola na satoshi, so vipande vya bitcoinHivi Satoshi ni tofauti na Bitcoin? Vipi thamani yake
Ooh, kumbeNi kama dola na satoshi, so vipande vya bitcoin
I mean dolar na cents, so satoshi ni kama cents za bitcoinOoh, kumbe
Wengi hatukujua Hilo dah 500m siha habaYani uwa naumia kwanini sikununua hizi coin maana zilianza coin moja inauzwa 0.8$ yani hata ningenunua za 10,000 leo ningekuwa naongelea milion kama 500 za ktz
Si unanunua vipande kwenye market mfano kupitia Coinbase. Unanunua hata 0.000079 ya BTCSasa tufanyeje mkuu kama kununua bitcoin 1 kwa sasa ni zaidi ya millioni 20? [emoji3]
Tuwaachie wenye pesa ndefu waendelee kupiga pesa!
Hapa ndio nimekuelewa masterSi unanunua vipande kwenye market mfano kupitia Coinbase. Unanunua hata 0.000079 ya BTC
Mimi nimekwishanunua satoshi za milioni moja la lak 6 kuanzia december mpaka leo. Kuna account yangu ya paypalikipokea ela zote nazinunulia coins kule localcoin. Ngoja nione hii fursa.Si unanunua vipande kwenye market mfano kupitia Coinbase. Unanunua hata 0.000079 ya BTC
Mkuu hongera sanapMimi nimekwishanunua satoshi za milioni moja la lak 6 kuanzia december mpaka leo. Kuna account yangu ya paypalikipokea ela zote nazinunulia coins kule localcoin. Ngoja nione hii fursa.
Utapigwa hadi utajuta kuzaliwaMimi nimekwishanunua satoshi za milioni moja la lak 6 kuanzia december mpaka leo. Kuna account yangu ya paypalikipokea ela zote nazinunulia coins kule localcoin. Ngoja nione hii fursa.