Una michepuko mingapi?
Kama hauna hata mmoja wewe siyo mtu makini..
Kama una 1 basi gear up, unakujakuja.
Kama unao 2 basi angalau tunaweza kukusajili kwenye jukwaa la umakini..
Kama unao 3 basi tayari una uhakika wa namba..
Kama unao 4 na kuendelea basi wewe ni Legend wa Umakini, yani wewe ni Ronaldo au Messi unajichagulia timu ya kwenda tuu..