Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,402 Reaction score 191,522 Aug 14, 2019 #21 f de solver said: Kuna wanao elewa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahivi naona usaliti umekithiri saaana Click to expand... Mtakoma na jiji lenu la uchafu, watu wanaoana halafu hawataki kuvumiliana wanasaka fast relief nje ya nyumba. Very stupid thinking!
f de solver said: Kuna wanao elewa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan sahivi naona usaliti umekithiri saaana Click to expand... Mtakoma na jiji lenu la uchafu, watu wanaoana halafu hawataki kuvumiliana wanasaka fast relief nje ya nyumba. Very stupid thinking!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,907 Reaction score 193,931 Aug 14, 2019 #22 Kuna mambo ni ya hatari sana... Cc: mahondaw
Unforgettable JF-Expert Member Joined Aug 1, 2019 Posts 5,582 Reaction score 12,444 Aug 14, 2019 #23 Extrovert said: ibada kwa viongozi wapi wa dini? Hawa wanaoita kufa maskini ni ufala🤣🤣🤣🤣??? Wanaokula ulabu na kurekodi video za X Click to expand... Achana na hawa viongozi wa showoff kutwa mtandaoni mkuu
Extrovert said: ibada kwa viongozi wapi wa dini? Hawa wanaoita kufa maskini ni ufala🤣🤣🤣🤣??? Wanaokula ulabu na kurekodi video za X Click to expand... Achana na hawa viongozi wa showoff kutwa mtandaoni mkuu