they are good kwa kweli compared to what happened in westgate, nairobi.BBC wanaionesha Mida hii. Vikosi vya Australia viko njema......!
they are good kwa kweli compared to what happened in westgate, nairobi.
cc lawmaina78, Nairoberry, kadoda11, FaizaFoxy
hahaha!!! yani leo asubuhi jinsi nlivyoona hali nkajua imekula kwa australia. btw sikuwa na nia ya kuwaudhi wakenya, nataka tu wajifunze kwa wenzao. :lol::lol::lol:Unawakumbusha Wakenya kilio na aibu kubwa iliyowapata? Majeshi yao yote, wameshindwa na watu wanne, na wakaondoka hawajaonekana mpaka leo.
Wakenya hata elites wao, wawekee chocolate tu, kwisha kazi. Wasomali, wamewapatia kweli.
Majanga.
Wale ni Wasomali, hawana mchezo.
hahaha!!! yani leo asubuhi jinsi nlivyoona hali nkajua imekula kwa australia. btw sikuwa na nia ya kuwaudhi wakenya, nataka tu wajifunze kwa wenzao. :lol::lol::lol:
Walikua very organized and coordinated. Wala hawakupeleka vifaru wala APC. Na walipoingia ndani wala hawakula chokoleti zilizokuwepo.
huyo muirani ni jinga kweli,alidhani jeshi la australia ni KDF.they are good kwa kweli compared to what happened in westgate, nairobi.
cc lawmaina78, Nairoberry, kadoda11, FaizaFoxy
hahaha!!! KDF walikunywa juiceWalikua very organized and coordinated. Wala hawakupeleka vifaru wala APC. Na walipoingia ndani wala hawakula chokoleti zilizokuwepo.
Hicho Ki Iran kilikuwa frustrated si komando huyo kama wale wanne walioingia west gate.
tazama KDF walivyo jazana eneo moja.hata mimi amabye sikupitia mafunzo ya kujihami ya kijeshi, naona jamaa hawakuwa makini.hii ilikuwa ni wakati ule wa tukio la uvamizi,westgate mall.
they are good kwa kweli compared to what happened in westgate, nairobi.
cc lawmaina78, Nairoberry, kadoda11, FaizaFoxy