Watu huona nini wanapokaribia kufa?


Hivi hakuna mtu amtumie Magufuli hii thread?
 
All in all nahitaji kujiandaa kwa kifo. It shouldn't be so sudden. Lazima iko njia, forget about Mambo ya kiroho

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kujiandaa kimwili bila kuhusisha rojo kwakuwa mwili bila roho si lolote si chochote... Na kifo sio visible object.... Sana sana utakachoweza kufanya kama wengine wafanyavyo ni kuandika wosia, kujiandalia jeneza, kujichagulia sehemu ya kuzikiwa nknk
Tofauti na hapo itabidi ufuate imani yako katika dini unayoamini inasemaje... But still you go back to spiritual state

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…