U uwe hodari JF-Expert Member Joined Dec 16, 2022 Posts 4,041 Reaction score 8,636 Nov 19, 2023 #41 Aloo ardhi inameza Juzi juzi amefika dada ofsini tumemhudumia akaomba namba nikampa baadae jioni akanishukuru kwa ukarimu kwa kunitumia vocha nzuri tu Nimekaa wiki mbili napiga simu anapokea stranger anajibu mwenye simu ni marehemu Maisha haya
Aloo ardhi inameza Juzi juzi amefika dada ofsini tumemhudumia akaomba namba nikampa baadae jioni akanishukuru kwa ukarimu kwa kunitumia vocha nzuri tu Nimekaa wiki mbili napiga simu anapokea stranger anajibu mwenye simu ni marehemu Maisha haya
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 175,631 Reaction score 193,596 Nov 19, 2023 #42 Poleni sana wafiwa...