ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,728
- 34,847
DaaaaahPole saana mkuu, ukitaka kuongea na wafu nitafute
Ikiwa uko serious tafadhali naomba kukutafuta pia kuna mtu aliniachia deni nahitaji nizungumze nayePole saana mkuu, ukitaka kuongea na wafu nitafute
Kwani nani amebisha? Muda wangu ukifika na mimi nasepa kistaarabuBado tuu wewe mtoa mada
Kwan nmekulazimisha ufe ad useme haujabisha.?Kwani nani amebisha? Muda wangu ukifika na mimi nasepa kistaarabu
Ningeshangaa kwenye thread asitokee mtu kama ww!Kwan nmekulazimisha ufe ad useme haujabisha.?
🤣🤣Pole saana mkuu, ukitaka kuongea na wafu nitafute
Ht mm ningeshangaa kwenye thread asitokee mtu kama wwNingeshangaa kwenye thread asitokee mtu kama ww!
Ukishazaliwa usiogope kufa ila jiandae kufaNingeshangaa kwenye thread asitokee mtu kama ww!
Deni lake kanielekeza nichukue mm kisha nitawasilisha kwake.Ikiwa uko serious tafadhali naomba kukutafuta pia kuna mtu aliniachia deni nahitaji nizungumze naye
Anhaa wewe jamaa utapata mkosi ujue .Deni lake kanielekeza nichukue mm kisha nitawasilisha kwake.
Kama kweli una dhamira ya kumlipa deni lake njoo PM.