Nimekuta mjadala jana mahari fulani baadhi ya wabarikiwa walio barikiwa kula nchi wakibishana kwamba watu hawamjui Kikwete. ndipo alipotokea mmoja na kusema mheshimiwa huyo akiwa na shida na akiona tatizo lake linamhitaji fulani ili alitatue , akishakutumia na lengo lake limetimia anakuweka pembeni ana angalia mambo mengine.
kama msemo huo una maana , ebu tuutafakari kwa kina.
Nimekuta mjadala jana mahari fulani baadhi ya wabarikiwa walio barikiwa kula nchi wakibishana kwamba watu hawamjui Kikwete. ndipo alipotokea mmoja na kusema mheshimiwa huyo akiwa na shida na akiona tatizo lake linamhitaji fulani ili alitatue , akishakutumia na lengo lake limetimia anakuweka pembeni ana angalia mambo mengine.
Nimeona kama msemo huo una maana , ebu tuutafakari kwa kina.
Tatizo lake hana guts za kufanya maamuzu kama yeye, sometimes huwa nafikiria kuwa anaogopa kulaumiwa.Hebu fikiri alimtosa Mangula kwenye ukatibu Mkuu wa CCM kwenye uchaguzi wa chama akamtosa wakati anagombea uenyekiti wa CCM Iringa, lakini ulivyokaribia uchaguzi mkuu akamrudisha kama Makamu Mwenyekiti wa CCM taifa ili amsaidie kuwachinjilia mbali wale wote wanaoonekana kugombea urais wakati si waadilifu ili asionekane ni yeye kawatosa kwa vile wao ndio waliomwingiza madarakani. Ni ndumila kuwili.
Ndio Rais anatakiwa kuwa hivyo complex and unpredictable. . . .Hiyo ndio sawa we unayaka umjue Rais kama chumbani kwako hata giza totoro unajua kitana kilipo???!!!!!
sasa wewe ndio PUNGUANI kwelikweli
ulichotaka ni kipi akishamtumia
AWAOE
Mbona kina Zitto walitumika na wamepigwa kibuti
Madaraka ni miaka 10 sasa Mkapa kamaliza ameenda na-nani
ligera Mada nyingine ni za kijiweni sana tena nahisi ni za kitoto
sijui mlifikia mwisho gani
Ukichambua kwa UNDANI watu wote wanafiki wako hivyo.
.............na pia huwa hawana fadhila katu NA kamwe maisha yao huo ni ya VISASI TU,.
Na mwisho wa MAISHA yao hauwi mzuri kamwe sababu atakuwa anajisikia vibaya.Mungu alituumba binadamu katika njia ya ajabu sana.Haitokaa imtoke mpaka anaingia kaburini,maana hata akisema amesamehewa lakini itamuwinda tu.
Bright lassie. . . . .haaaaa jaman alipokuwa anakutumia c alikulipa kwa ulichofanya so mlitaka awagande hao watu kwani yey kupe nakufanyia kazi unanipa changu nasepa . life goes on