Jebel
JF-Expert Member
- Jul 10, 2021
- 318
- 2,089
Salamu,
Moja kwa moja;
1. Wanaovaa nguo za kijani au njano... to be more precise nguo za chama cha (C.C...). Abadani mtu akishavalia iwe t-shirt au shati lile siwezi kumsalimu shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala regardless umri wake au status yake. Never!
2. Traffic Police! Hawa hata uniwekee mtutu siwezi kuwapa shikamoo yangu, never! Najua kuna mazuri wanafanya lakini bado siwezi kuwasalimia shikamoo wala kumpisha Seat kwenye daladala!
3. Wanawake wazee wanaotumia mikorogo na kuweka bleach kwenye nywele!
Ifike wakati watu waishi kulingana na umri wao. Ebo, mengine waachiwe vijana bwana!
4. Wale wenye vishati vimeandikwa TARUR.... hawa pia siwezi kuwasalimia shikamoo abadani. Usiniulize kwanini kwani sintakujibuni lakini ndo hivyo.
5. Povu linaruhusiwa!
Ni hayo tu kwa leo.