Bujubuji, umewasahau mafundi cherehani na wauza urembo (machinga)Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

Bujubuji, umewasahau mafundi cherehani na wauza urembo (machinga)

Kumbe bebii unamegwa kwa maini tu.,afadhali nimejua nitakuletea ya kitimoto kabisa.

Hahahahahahaha! Muuza bucha kwa mahausi geli noma!

kweli?

Hahahahahahaha! Muuza bucha kwa mahausi geli noma!
Unamegewa nyumba yako ndogo...Bebii umenishtua bana.. Maana nyumba yangu ndogo kila nikienda nakaangiwa maini, nikiuliza vipi naambiwa muuza bucha ametoa bonasi!!!!!!

na muuza mbogamboga nae???anaetembeza mtaani????
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.