- Wa kwanza kabisa anaeboa kumsikiliza ni huyu FATUMA KARUME mpeni ushauri asiwe anaongea kwenye media; kwanza hajui hata kupangilia maneno; awaachie watu kama kina ZITTO, LISSU n.k wenye Uwezo wahit point kwa mda sitahiki.
- EBITOKE; Hiki kisichana nacho sikipendi, kwanza kinaboa sijui huwa hakijisikilizi?
- DOKII Wa EFM yaani huyu Dada nae chenga tupu, sijui ndo fasheni yake lakini havutii kabisa
- DR. PANJUANI mwenye sauti ya kihindi; hana creativity zaidi ya kuboa.