Watu hawa huwa hawavutii kabisa kuongea kwenye media lakini kutwa kujiweka kimbelembele kuongea sijui huwa hawajisikilizi?

  1. Wa kwanza kabisa anaeboa kumsikiliza ni huyu FATUMA KARUME mpeni ushauri asiwe anaongea kwenye media; kwanza hajui hata kupangilia maneno; awaachie watu kama kina ZITTO, LISSU n.k wenye Uwezo wahit point kwa mda sitahiki.
  2. EBITOKE; Hiki kisichana nacho sikipendi, kwanza kinaboa sijui huwa hakijisikilizi?
  3. DOKII Wa EFM yaani huyu Dada nae chenga tupu, sijui ndo fasheni yake lakini havutii kabisa
  4. DR. PANJUANI mwenye sauti ya kihindi; hana creativity zaidi ya kuboa.
na wengineo wanakwaza sana kuwasikiliza; Bahati mbaya hawajijui kama wanakera!
Na bado wanapokua hewani unawasha radio yako kuwasikiliza! Huo ni mtazama na hisia zako juu ya hao wanaokukera kama ambavyo kuna maelf kadhaa ya wengine ambao hawakerekwi nao sema tu hawajatumia fursa kama hii ya JF kueleza msimamo wao
 
huwa nazima kabisa wakianza kuongea hao
 
lakini kipawa hakilazimishwi; kila mtu na kipawa chake, siyo kila mtu anaweza kuongea kwenye media, kama una kitete, wenge au kigugumizi kiherehere cha kuongea kwenye media hakifai! Audience inakuwa inatumia nguvu kubwa sana kukuelewa

!
!
Kwa Hiyo Akiwa Na Jambo Lake Anataka Kuongea Na Wanahabari Awe Anaajiri Mtu Wa Kufanya Hivyo, Au? Wewe Mtazamo Wako Uko Hivyo Havutii, Wengine Wanafikiria Tofauti Na Wewe Wanaona Anavutia. Mzoee Tu
 
!
!
Kwa Hiyo Akiwa Na Jambo Lake Anataka Kuongea Na Wanahabari Awe Anaajiri Mtu Wa Kufanya Hivyo, Au? Wewe Mtazamo Wako Uko Hivyo Havutii, Wengine Wanafikiria Tofauti Na Wewe Wanaona Anavutia. Mzoee Tu
wapo wasemaji awatumie hao! unafikiri kwanini chadema wanapenda kumtumia LISSU KUSEMA! Jamaa ana vocals, anajua kupangilia maneno, anajua kufikisha ujumbe kwa mda mfupi, na hiyo ndo sifa kuongea mbele ya hadhira! wanatakiwa wasitumie nguvu kubwa kukuelewa!
 
Back
Top Bottom