Ukweli upo hivo na hadi nakufa najua hao ndio best!! Hao wote hua nikisoma hata taarifa zao tu hua nasikia Kama ganzi mwilini! Kila Mtu hapo alijitoa kutumikia Jamii nimemuona Nyerere, Mama Theresa na pope John Paul!! Hiki kipindi Madiba anaumwa najisikia bby Sana naamini mungu atamtolea kivuli cha mauti asherehekee miaka 95 mwezi ujao!!