MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Huyu jamaa kwa jinsi anavyoonekena anaweza kuleta mtafaruku mkubwa sana ndani ya chama, Kitendo chake kufanya mambo kwa kusailiana moja kwa moja na bosi wake hakifurahiwi kabisa na viongozi wenzie, kuna siku aliwahi kukiri kua mbele ya umma na makamu wa Rais kua kuna mawaziri wanamwambia kua anatafuta nini? Hili jambo yeye akiwa ni kiongozi wa kawaida tu kuwasiliana na mkuu moja kwa moja huenda kukaanza kuzaa mtafaruku Mkubwa ndani ya chama.
Hali hii inamfanya kuona kwamba yeye ndiye mjuzi wa mambo zaidi, kwamba anajiamini kwa sababu anao uwezo wa kuuliza chochote kwa bosi wake kuliko hata baadhi ya mawaziri ndani ya serikali,ni kitendo kinacholeta shida hata yeye kwa sasa inaweza kumuwia ngumu kuwashirikisha kwenye baadhi ya mambo.
Kuna uchaguzi wa viongizi wa CCM kwa viongozi wa ngazi mbali mbali ndani ya Chama muda si mrefu, kuna uwezekano mkubwa kabisa watu wa aina hii wakaleta mtafaruku Mkubwa ndani ya chama.Mtu wa aina hii kwa sababu atajiona kua anaaminika zaidi na Mwenyekiti wake wa chama anaweza kufanya chchote ndani ya chama, anaweza kuomba kugombea nafasi yeyote kubwa ndani ya Chama na akaleta tafrani kubwa mno.
Ikumbukwe kua bwana huyu alikua ni kiongozi wa Chipukuzi na hamasa ya CCM taifa, kwahiyo si ajabu akaitaka nafasi kubwa zaidi, na kwakua bosi wake anampenda basi atapewa.
Kugawanyika kunaweza kutokea pale ambapo mpaka sasa kuna idadi kubwa sana ya wanaCCM wanaonekana kutompenda kwa mienendo yake, kuna baadhi ya viongozi wamesikika wakilalamika kua yeye anapata muda wa kwenda likizo kupumzika nje ya nchi lakini wao wanapigwa pini.Hivyo basi hata uungwaji wake mkono ndani ya chama unaweza kua mdogo sana.