Watu 9 wahofiwa kufa maji na wengine kujeruhiwa baada ya boti kuzama Zanzibar

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Watu 9 wahofiwa kufa maji na wengine 7 kujeruhiwa baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuelekea Unguja na Wete kisha kuelekea Mombasa kuzama huko Zanzibar.

Chanzo cha ajali hiyo ni hitilafu katika Boti hali iliyosababisha kuingiza maji katika Chombo hicho. Watu saba waliojeruhiwa wamelazwa katika Hospitali iliyopo Kaskazini Pemba.


 
Back
Top Bottom