"Hali irudi kuwa kawaida"? Hata sijui una maana gani hapa. Kamwe hali haiwezi kurudi kawaida wakati Samia na Genge lake wakiendelea kuwa madarakani.
Watu 700 kuuliwa kama ni nchi nzima utaziona maiti zote zimerundikana mahali pamoja?
Ninacho kubaliana na wewe ni kuwa hakuna anayejuwa idadi sahihi ya waTanzania waliouliwa hadi sasa, lakini hata wangekuwa ni 10 tu, bado haihalalishi msimamo uliochukuliwa na viongozi waovu hawa.
Kila kifo kitakachothibitika lawama zote zinawahusu hawa mashetani