Watu 7 wafariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali mbaya barabara ya Thika-Nairobi

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Watu saba wamefariki na wengine kujeruhiwa kwenye ajali mbaya ya barabara iliyotokea barabara kuu ya Thika-Nairobi.
Akithibitisha habari hiyo OCPD wa Kasarani Robinson Mboloi amesema ajali hiyo imetokea baada ya lori lililokuwa limebeba matofali kupoteza mwelekeo na kugonga basi dogo la abiria lililonga vizuizi vya barabara na kisha lori hilo kuanguka na kutua kwenye basi hilo lenye uwezo wa kubeba abiria 14

=================================

Seven people have died and several others injured after a grisly road accident on Thika-Nairobi superhighway on the stretch between GSU headquarters and East African Breweries Limited, Nairobi Police boss Japheth Koome said.


Confirming the incident, Kasarani OCPD Robinson Mboloi said the accident occurred after driver of a lorry carrying building bricks lost control and hit a minibus which hit rail guards, then overturned landing on a 14-seater Nanyuki-bound matatu.

Mboloi said police have launched investigations to establish the exact cause of the accident, as the injured have been rushed to various hospitals for treatment.

Police temporarily closed the section of the road affected by the accident to attend to injured victims.

upload_2017-9-6_18-54-11.jpeg


upload_2017-9-6_18-54-34.jpeg


Source: Citizen Tv
 
Hiyo barababara ya thika ni balaa ina hay way ndefu na ni pana sana
Poleni majirani zetu..
 
there is no rail near Thika road mkuu....its rail guards...those things that prevent vehicles from veering off the road...ama vizuizi hivyo vinaitwa reli? kiswahili kigumu pia...
 
there is no rail near Thika road mkuu....its rail guards...those things that prevent vehicles from veering off the road...ama vizuizi hivyo vinaitwa reli? kiswahili kigumu pia...
Ok, noted boss, hivyo vizuizi mwenyewe sijui jina.. naandika vizuizi tu
 
Back
Top Bottom