Watu 27 wajeruhiwa katika ajali walipokuwa wakielea katika mechi ya soka

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Habari wanaJF,

Habari kutoka Butiama mkoani Mara, zinaarifu kuwa takribani watu 27 waliokuwa wakisafiri kwenda kucheza mpira wamejeruhiwa baada ya gari waliokuwamo kupata ajali.

Chanzo: ITV
 
Back
Top Bottom