Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,868
Pole sana daaah😂😂 nacheka km mazuri vle...wake zetu wa Mjini kweli kazi wanayo,ubize maskini,mpaka miezi michache tu baada ya breastfeeding kanapelekwa babycare-kindergarten...huko kanasonyekwa miharage ya mafuta ya mawese,mimaji isiyochemshwa, unategemea kasiwe EKSOZI ya pikipiki daaaah kabebi ketu😥😥 afu mama mwenyewe japo na kudanga hovyo anachokipata na kle cha mwenzake akiunganisha hakijai mkononi loooh salaleeeMungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa,jana makandeUgali maharage yaani kila siku maharage
Mtoto anajambaaa dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa ndalichako maana hela nalipa
Sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule
Mtoto mwenyewe wa kubeti aisee yai la mwisho acha tuKwa hali jinsi ilivyo kipindi hiki,mtoto wa chini ya miaka 5 kumpeleka shule ni sawa na kubet uhai wake
Sawa mkuu sio kwa kujamba hukohuna mawasiliano ya shule anakosoma mwanao? kwa nini usifanye mawasiliano ukapata suluhu.
Mkuu tufanyeje Sasa??Pole sana daaah[emoji23][emoji23] nacheka km mazuri vle...wake zetu wa Mjini kweli kazi wanayo,ubize maskini,mpaka miezi michache tu baada ya breastfeeding kanapelekwa babycare-kindergarten...huko kanasonyekwa miharage ya mafuta ya mawese,mimaji isiyochemshwa, unategemea kasiwe EKSOZI ya pikipiki daaaah kabebi ketu[emoji26][emoji26] afu mama mwenyewe japo na kudanga hovyo anachokipata na kle cha mwenzake akiunganisha hakijai mkononi loooh salaleee
Yap Yap,Sasa mzazi mwenzangu kabla ya kwenda na mabango kwa mama prof.ndalichako,umeshawahi kuwaona wahusika pale kindergarten wakadadavua lolote?Mkuu tufanyeje Sasa??
Ahaaa eti mashudu mkuu nalipa hela mjueFanya uende uko shuleni ghafla tena muda aambao unajua wanapata chakula ili ujionee mwenyewe wanaavyolishwa mashudu
Huyo mtoto ilibidi awe nyumbani anapata uangalizi na mlo kamili ulioandaliwa na Mama.
Mungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.
Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.
Ahaaa eti mashudu mkuu nalipa hela mjue
So nimuachishe ama??
Eti wamesogeza ratiba mbele anatoka saa kumiI think huo umri angepata kindergarten ya kutoka saa 6 mchana ili apate mlo nyumbani...ni mdgo sana kushinda shule na kusokomezwa unbalanced diet[emoji3526]
Wazazi mna viherehere tu,mtoto miaka mitano hata utoto hajamaliza unampeleka shule,akagundue Nini?
Tafiti zinasema mtoto anaanza kuelewa akiwa na miaka sita,sasa nyie na uzungu wenu mnawapeleka na miaka mitatu mpaka mitano.
Lishe ya mtoto unatakiwa uiandae wewe mama sasa unawapa kazi hiyo waalimu?
Miaka mitano bado anakwenda kliniki Kama sikosei,kwa hiyo mtoto wa kliniki unampeleka shule?
Tuliona yupo lonely home si unajua mambo za dar hakuna ujirani.halafu anajua kusoma na kuhesabu tukaona ashakuwa huyu aende duniani kupambanaMkuu kwani ni ipi sbb kuntu iliyokufanya umpeleke shule at dat age,tukiijua tutadadavua vizuri kweli...
Ha ha ha ha kwa mtazamo huu,huko tuendako...watakuwa wameshakua kabla ya arobaini wanaanza shule😂😂😂Tuliona yupo lonely home si unajua mambo za dar hakuna ujirani.halafu anajua kusoma na kuhesabu tukaona ashakuwa huyu aende duniani kupambana
Ada unalipa shilingi ngapi? Usilalamike mtoto analishwa mavyakula yenye gas kumbe ada ni ndogo haikizi mahitaji mengineMungu ni mwema shule zimefunguliwa japo wengine tulikuwa tushakula ada ,ila sio mbaya tutadanga hivo hivo watoto wasome.
Mwenzenu Nina changamoto kababy ketu kalianza shule mwaka huu kabla ya lockdown ile Jan.nikalipa ada vizuri tu .ila hakusoma sana hata mwezi akaanza kuzingua mara anaumwa .mara anachelewa kuamka ,mara mvua etc anyway wenyewe tukaona kwa vile ni mdogo just 2yrs tusiforce akaacha tu ndo kukutana na lockdown ya shule Hadi alivoanza tena shule just imagine tumelipishwa tena ada nziiima sina hamu.
Kinachoniuma toka dogo aanze shule juzi anajamba balaa.japo ni kadogo siwezi kusema anachoniambia ni kweli au lah ila nikimuuliza shule ulikula nini anasema ugali maharage na maziwa, jana makande Ugali maharage yaani kila siku maharage.
Mtoto anajambaaa Dar nzima yaani hadi tunakionea kitoto chetu huruma nataka niandamane kwa Ndalichako maana hela nalipa sasa nauliza nifanyeje wakuu na hii shule.