Watoto wetu, malezi yetu

Tuyafanyayo mbele yao na wayaonayo kwa wengine huyabeba kama yalivyo na kuyajaribu
 
Tuwaleavyo....!!!
Ndivyo wakuavyo.

Wanachokiona ndicho watakachokifuata.

Wakiona mnasukana wanaigiza kusukana.

Wakiona chochote kinyume na maadili watafuata wataona ndivyo inavyopasa kufanya.

Watoto hawana makosa hata kidogo, makosa yapo kwa watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…