Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Duh ukiwakuta wamefanya hivo sijui hata uwafanye nini...
Hako kaliko mbele ya TV ndio kataniudhi sana, maana hakajatambua kosa sababu kanatabasamu.
Bora huyo mdogo yuko siriaz how to resolve the mess they have created.
unacheka tuuuu basi...hii inanikumbusha mwanangu wakati anamwaka nikosebleni na check tv yeye akaingia chumbani kimya kimya,kujakushtuka kajipaka mafuta karibia kopo zima kapuliazia hayo manukato kwenye mashuka na kwenye nguo za mama zilikuwa kitandani..nilivo mkuta katika hiyo hali ilibidi nicheke mwenyewe tuuu....
Hapo hata ukiona kopo la rangi mwili unakusisimka!Niliwahi kufanya tukio linalofanana na hili nilipata kibano toka kwa dingi sitosahau,weeeee hapa rudia tena hiyo kitu
Niliwahi kufanya tukio linalofanana na hili nilipata kibano toka kwa dingi sitosahau,weeeee hapa rudia tena hiyo kitu