Chibike
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 4,910
- 7,562
Wakuu
Mwanaume aliempa mimba mkewe, akafanya mapenzi na mama mkwe naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi na shemeji yake( shem tamu) ambaye ni dada wa mkewe, naye akashika ujauzito, akafanya mapenzi tena na shemeji yake mwingine, ambaye ni Mdogo mtu ( shem nikune) ambaye ni WA mwisho kwenye familia ya mkewe, nikimanisha, mkewe ni mtoto wa pili, shem tamu wa kwanza na shem nikune WA mwisho..
Watoto watakaozaliwa hapa, wataitanaje?
Alamsik!