Na uweke nia ya kuoa sio kuwamega tuu
Jamani ndugu zangu naombeni maujanja ni mbinu zipi ambazo mimi mtu wa kawaida kipesa naweza kuzitumia kupata mtoto mkali.sababu kuna rafiki yangu yeye kiukweli kipesa yupo kawaida lakini watoto anaowapata hakya mama ni wakali balaa nimejaribu kumuuliza lakini hanipi majibu ya kueleweka.naomba kwa mwenye maujanja ajaribu kunipatia sababu hili swala la pesa linaninyima haki yangu mimi kama binadamu

vijana kama hamtabadili mawazo yenu kwa style hii wataokoka wachache,rafiki yako kubadili mademu na penyewe ni sifa ya kutafutia ushauri hapa ndani,nenda kimboka wapo wakali utabadilisha hadi uwaache.
huo ushauri wa kuoa kwa huyu hataufuata, kwan mwenyewe anataka kushindana na rafiki yake ambae kwake ni kama idol
ndugu yangu katika thread yangu sikuomba ushauri jinsi ya kubadilisha wanawake ndio mana nikatumia neno mtoto kumaanisha mmoja kama hukuelewa ungeuliza au ungepita tu
Mmmh anza kuwa gentleman....acha usharobaro.