Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?
Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.
Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.
Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Hii Haijusiani na CHADEMA, stupid.Hawa ndio vijana wa BaviChA ambayo Mbowe anawatumia kushawishi wapiga kura!
Sahihi, wafia dini wanautumia ushoga kama kichaka cha kujifichia.Pope hajasema ushoga si dhambi kw ukristo amesema ni dhambi amesema tu waacheni waishi maisha yao kwani kiuhalisi hawamdhuru mtu hence not a crime legally ila kwa dini bado dhambi. Acheni kumsingizia vitu ambavyo hajasema just for propaganda tu
Aliewaita MAKONDOO hakukoseaYaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?
Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.
Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.
Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Na mpaka uthemeePope hajasema ushoga si dhambi kw ukristo amesema ni dhambi amesema tu waacheni waishi maisha yao kwani kiuhalisi hawamdhuru mtu hence not a crime legally ila kwa dini bado dhambi. Acheni kumsingizia vitu ambavyo hajasema just for propaganda tu
Kwa wazungu kuna baridi ya theluji.Miaka ilee wazungu walivaa hivi
picha ya juu ni miaka 100 iliyopita
View attachment 3143171View attachment 3143172
Malezi ya mtoto yanaanzia akiwa mdogoNimelalamika watoto wadogo kuwa imposed sio wanawake watu wazima. Sawa sawa kukataa pedophilia na sio consensual sex kati ya watu wazima. Msomage hadi mwisho; hata kichwa cha habari kinasema watoto ndan ya hijab alafu nsyuka km nyie mnakuja kwa kukurupuka. Kuna masista wacatholic watoto wadogo?
Lakini sio makoti hayo bossKwa wazungu kuna baridi ya theluji.
Utamaduni na maadili yameachwa kwa wengi na sababu ni hiziMalezi ya mtoto yanaanzia akiwa mdogo
Unataka tumuache azoe kutembea na vikaptura ili akikuwa tushindwe kumuelekeza namna ya kuvaa?
Kwani wewe unathirika na nini mwanangu akivaa hijab?
Kila Imani na life style yake wewe endelea kuwafundisha wakwako wavae bikin
Kwa hiyo saivi baridi hakuna sio maana hawavai hivyoKwa wazungu kuna baridi ya theluji.
Kwangu Mimi mke wangu na watoto wangu huwa sikubaliani wavae nusu uchi kamweUtamaduni na maadili yameachwa kwa wengi na sababu ni hizi
Mzazi mwenyewe yuko nusu uchi unategemea mtoto atakuwaje?
Mama mzima mapaja yako nje halafu anakuambia anaenda kwenye ibada hapo huwa sielewi kabisa
Amemuanika vipi? Kwani ametaja jina au kuweka picha yake.Mwenye mtoto wake amekuruhusu kumuanika mtoto wake?
Bongo tuna uhuru sana yaani mtu anakupost bila idhini yako.
Vizuri sana, na huu ndio wajibu wa wenye maadiliKwangu Mimi mke wangu na watoto wangu huwa sikubaliani wavae nusu uchi kamwe
Na hilo ndiyo jukumu langu wakiwa wadogo
Wakikuwa Kama wataamua hivyo sitawapangia kikubwa nishatimiza wajibu wangu wa malezi wakiwa bado hawajaondoka kwangu
Mbona umesahau kujumuisha makafiri original, Waislam au Waarab wanaoamini Mungu zaidi ya mmoja?Uzuri kwenye Quran tumeshaambiwa jinsi ya kuishi na makafiri Tena tumeambiwa 'Hawatokuwa Radhi Mayahudi nA Manaswara Mpaka mfuate Mila Zao'mwisho wa kunukuru!Kwa Asiye elewa Naswara ni Mkristo au kafiri asiye amini Mungu Mmoja.
Watu wanaoamini majini bwana, wakiambiwa ukweli tu basi wako radhi kukashifu au hata kujiua kutetea uwongo na ujinga. Sasa hapa unaongea nini?Hata Mama Ako Sio Mkweli Alipomsingizia Mimba Yako BabaAko.