Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 562
- 1,148
Mwenye mtoto wake amekuruhusu kumuanika mtoto wake?
Bongo tuna uhuru sana yaani mtu anakupost bila idhini yako.
Hata kama sio ya Bongo, lakini hata hapa Bongo wanavaa hivyoIyo picha sio ya Bongo acha kukurupuka
Sisi wavaa Pempass tulioruhusiwa kupumuliana na Papa huko Vatican tunaangalia tu...Wavaa kobazi hapa lazima wakuandame ila ndio umeshasema ukweli 😂
Ila mm sijakuelew kwakwel maana unavyondikYaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili[emoji15][emoji15][emoji15] kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?
Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.
Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.
Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Vipi hawa wamevaaje?Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za serikali viishilio vya dini haviruhusiwi km mkufu etc lakini bado hawa wamekazana. Ujinga wa wap huu?
Dini iwe yako na umuache mwanamke mtu mzima aamue kuvaa huo ushungi; unaanzaje to impose mtoto mdogo this? Waafrika wengi wajinga na hata dini yenyewe hawaielewi; kwana hijab au hata niqab hazijatajwa popote kw Quran; tena Niqab, Burka or Ninja ya Taliban ndo hazihusiani kabisa na Uislamu bali ni mautamaduni ya watu waishayo kw janga uko kuwalinda macho na nyuso kw gharika la vumbi ila cc waafrika km kawa kuiga tu ni sawa tuvae makoti mazito na joto hili.
Pili hijab pia haitajwi bali Quran imesema kuvaa vizuri au dress modestly which naweza kuelewa kuvaa nguo isiyo chini ya magoti, nguo ya kubana, mipasuo, kuwa kifua wazi, top, bikini etc ila km kawa hijab imekuja ila ni utamaduni hadi Saudi Arabia imeruhusu wanawake wasivae hijab km hawataki na haiwalazimishi tena km Iran au Afghanistan ila kuna mizazi mijinga tu italazimisha watoto wavae.
Niulize swali kwa wanaume walionyooka; ivi mwanamke akipita unaconcentrate kw nywele au matiti, makalio, hips, mapaja au uso? Yaani mdada akivaa hijab na uku chini bikini italeta diff gan; km iyo haitoshi nani anaweza mtaman mtoto mdogo hata akiwa uchi unless ni pedophile tu? Upuuzi mtupu hapo wanataka wamprogram uyo mtoto ili awe guilty akija kuvua.
Kwaiyo? Address madaHata kama sio ya Bongo, lakini hata hapa Bongo wanavaa hivyo
Papa sio Kiongozi wa wakristo, ni kiongozi wa Wakatoliki... Kumbe wewe ni mkatoliki mnapumuliana tu, na wewe wanakupumulia tu? Maana umeandika mnaruhusiwa kupumuliana, mmepuliwa mara ngapiSisi wavaa Pempass tulioruhusiwa kupumuliana na Papa huko Vatican tunaangalia tu...
Akili finyu bwana? Hao watoto wadogo???Vipi hawa wamevaaje?
Wewe unajua? Umetoa evidence yoyote hijab kutajwa kw Quran au we ndo unakurupuka tu? Kapige puchu acha watu wazima waendelee na madaHata maana ya hijab yenyewe hujui kazi kukurupuka tu... Ovyoo