Watoto Wadadisi

masatujr1985

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,980
Reaction score
789
Dogo mmoja wakati anakua, alikuwa Ni bonge ya mdadisi. Siku moja akiwa anacheza na wenzie akasikia wanatukanana "ku..ma wewe" aliporudi akamuuliza mama yake: mama, ku..ma Ni nini? Mama akajibu: Ni kikapu mwanangu. Basi mtoto akatambua kuwa Kumbe ku..ma inaitwa kikapu. Siku nyingine akiwa anacheza na wenzie akasikia mtoto mwenzie akimwambia mtoto mwingine "ndo maana una mboo fupi" aliporudi nyumbani akamuuliza baba yake: baba, mboo Ni nini? Baba akajibu:Ni mkongojo mwanangu. Siku moja wakati anacheza na wenzie pia, akasikia mtoto mmoja anamtusi mwenzie "unatombwa wewe". Aliporudi nyumbani akamuuliza baba yake: baba kutombwa ndiyo nini? Baba akajibu: kwenda sokoni mwanangu. Siku nyingine akasikia watu wanatukanana "unafirwa wewe" akamuuliza mama yake ndo nini?, wakamjibu: huko Ni kuoga mwanangu. Siku moja akasikia watoto wanatukanana "ms..e.nge wewe", basi aliporudi akawauliza ndugu zake "eti -ms..e.nge ndo mtu gani wakamwambia "ms..e.nge Ni mgeni".

Basi siku moja wakabahatika kupata wageni wake Kwa waume. Wanawake walibeba vikapu na wanaume walibeba mikongojo/fimbo. Mama alikuwa kaenda sokoni na baba alikuwa bafuni akioga. Basi dogo Kwa kuwa alikuwa sebuleni, ikabidi akawapokee wageni na hiki ndicho kilichotokea:

Wageni: HODI
Dogo: Karibu (huku akisogelea kitasa tayari kufungua mlango: Dogo baada ya kufungua akaanza kuwakaribisha wageni)
Dogo: Karibuni sana nyie was.e.nge (wageni).
Wageni: (wakapigwa butwaa)
Dogo akaendelea: Akina mama hizo ku..ma zenu (akimaanisha vikapu) wekeni hapo mezani, na akina baba hizo MBOO zenu (akimaanisha mikongojo) wekeni pembeni ya fridge.
Wageni: wanaendelea kupigwa butwaa
Dogo akaendelea: karibuni sana sana was..e.nge wetu na jisikieni tu mpo nyumbani. Mama katoka kidogo kaenda KUTOMBWA (akimaanisha kwenda sokoni) na baba yuko bafuni ANAFIRWA (akimaanisha anaoga).
Wageni: kila mmoja USO kainamisha chini na kunyanyuka mmoja baada ya mwingine kuondoka.

FUNZO KWA WAZAZI NA JAMII: tuwafunze watoto wetu mambo mema Kwa kutowafumba baadhi ya vitu tunavyoona si vyema katika jamii yetu. Ni bora kumwambia mtoto kuwa Hilo neno si sahihi na hastahili kulitumia popote pale kuliko kumdanganya. Tunaweza tukaishia kuumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…