Watoto wa wenye nyumba VS Wapangaji

Watoto wa wenye nyumba VS Wapangaji

Wenye nyumbaa wengine ni wanokoo sanaa utakuta ashapata mtu anayetaka chumbaa kwa bei ya juu so anakuwekeaa visangaaa uamee kwakeee.

Mimi salamu yangu ya kwanza kwa baba mwenye nyumba nilimpa binti yake mimba. Majibu yake ya kwanza alinifukuza. Salamu yangu ya pili niliondoka na binti yake. salamu yake ya pili alinisusia binti yake.
 
Sasa itokee mwenye nyumba mwanamke awe anakutaka bila ya wewe kujua, na ikatokea umemleta mlimbwende halafu yeye mwenye nyumba ameona, ujue kuanzia hapo utatafutiwa kila sababu na vituko vya kila aina hadi uhame
 
Pole ukikuwa utjuwa nishida ukute mwenyumba anatokea njiapanda moro tanga utakoma
 
Kuna mshikaji wangu walimfanyia visanga mpaka akahama...yaan mama mwenye nyumba na watoto akili moja.Jamaa akiingia na mchuchu nje kelele na vjembe vinaanza.
Tatizo kubwa ni uelewa mdogo wa kujua umuhimu wa mpangaji.
 
kuna mzee mmoja aliwahi kuniambia kuwa "uhuru wa mwaka 09/12/ 1961 unapatikana pale tu unapohishi kwako.."
kyishi kwako raha tupu
 
Jenga Yako...ili kodi umeme maji taka na usafi visipandeee as long upo kwa watu....Tuliaaaa kimyaaaa

Mkuu umetema checheee! Kanapiga kelele sijui za nini wakati kako kwa watu! Bei ya saruji, bati n.k hakajui kanabaki kupiga kelele tu!
 
Nyumba za kukaa na wenye nyumba ndio zenye kero zaidi....Halafu usiombe mwenye nyumba awe anategemea hiyo kodi kwa ajili ya kununua chakula utajuta?
 
Nyumba za kukaa na wenye nyumba ndio zenye kero zaidi....Halafu usiombe mwenye nyumba awe anategemea hiyo kodi kwa ajili ya kununua chakula utajuta?

Tarehe 30 ikigota yuko mlangoni anataka chake....mjini kuna shida kweli.
 
Back
Top Bottom