Watoto wa siku hizi kazi kweli

Watoto wa siku hizi kazi kweli

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
uploadfromtaptalk1364460366418.jpg
Malezi ya digital ndio mpango mzima.
 
Ndiyo hata yale "majambo yetu nyeti", si vema kuyafanya vitoto havijalala hata kama ni vidogo kwa umri kiasi gani
 
watoto wa siku hizi ukimpa simu na mdori anaacha mdori anachukua simu.
 
Ndiyo hata yale "majambo yetu nyeti", si vema kuyafanya vitoto havijalala hata kama ni vidogo kwa umri kiasi gani
Vinachungulia hivyo. Alafu ukitaka ujue kwamba anapiga chabo. Mwangalie machoni utaona anavyo yafinya finya macho
 
Back
Top Bottom