Summer time shule zinafunga ndiyo, lakini pia isije kuwa syllabus wanaifanyia Ikulu, ambalo linaweza kuweka flexibility. Watoto wa rais mkubwa kuliko wote duniani hawezi kulea watoto kama ubarinolutu. Hapa kwetu kwenyewe watu na hela zao wanafanyia syllabus majumbani. Itakuwa huko?
Wivu bana, kama wewe umelelewa kipindi kile baba akirudi jioni unajificha lazima utataka na watoto wa wenzio waisha kama paka na panya. Kaka dunia imebadilika na wewe badilika kila mtu ana system yake ya kuendesha familia.
Wat if km ni distance learning. ??? Usishangae yale mapochi yao makubwa yana laptop...si lazima kila mtu akae darasani..kitu kinapigwa home...tena mtoto wa prezda wa usa
Nimekujibu ndugu yangu kutokana ulivyouliza.sasa mbona unakwenda kungine.mimi nimezaliwa huku.lakini wazazi wangu wote ni Watanzania.Naipenda sana Tanzania.mbona unakimbilia kuongelea pumba za madawa.?au ndio kazi zako wewe.nipe namba yako tuongee.Nitakupigia tuongee vizuri.Nimechoka kuandika hapa.
Kabla hujaandika usichokijua fanya reaserch kidogo, mitandao kila kona...Kwa taarifa tu wanasoma shule ambayo ni expensive na mabint wake wanalindwa na walinzi 11, ada ya mmoja ni takriban 100M