Toffee
Member
- Apr 21, 2013
- 80
- 25
Hbari zenu wakuu
Nimatumaini yangu mu wazima na mnaendelea na pilika za hapa chini ya jua.
Nina Rafiki yangu (me) kaniomba ushauri.
Kutokana na 7bu tofauti tofauti ikiwemo masomo+mapenzi,
kjikuta ana watoto wa nne mama tofauti.
Anatamani kuoa, lakini akifikilia watoto wa nne mama tofauti anakosa raha,
na sasa anajutia alichokifanya.
Nimemshauri achague mmoja kati ya hao wa nne.
Amedai wa wili wame olewa .
Naombeni mawazo yenu.