Watoto wa nje ya ndoa

Watoto wa nje ya ndoa

Ndo maana kwa mganga hawatumii jina la baba wanatumia la mama kwa maana Mama ndie anamjua baba halisi wa mtoto pia kupitia jina la mama waganga wanapata codes number za baba halisi wa mtoto wanapotaka kusoma nyota.
 
Hata kama tunatumia fake ID hizi thread nyingine zinawadharirisha sana. Hivi huwa mnafikiria kweli madhara ya haya maandishi kwenye umma kwamba yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani? Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha.
wapuuzi sana watu wa sampuli hii
 
Hata kama tunatumia fake ID hizi thread nyingine zinawadharirisha sana. Hivi huwa mnafikiria kweli madhara ya haya maandishi kwenye umma kwamba yanaonesha wewe ni mtu wa namna gani? Ebu jaribuni kuficha uchi wa akili zenu. Mnajidharirisha.
pole kiswahili chenyewe kinakupa taabu,sio kudharirisha,uhalisia wa dunia haumfanyi mtu kudhalilika,jifunze kuvumilia hoja za watu,hoja hujibiwa kwa kwa hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana kwa mganga hawatumii jina la baba wanatumia la mama kwa maana Mama ndie anamjua baba halisi wa mtoto pia kupitia jina la mama waganga wanapata codes number za baba halisi wa mtoto wanapotaka kusoma nyota.
Una wa overrate sana waganga😂😂😂😂eti anapata codes thubutuuuuu yaooo anatungtunga uongo tu
 
Back
Top Bottom