Watoto wa Mjini wameniingiza mjini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watoto wa Mjini wameniingiza mjini!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Mar 25, 2011.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Jana bwana yamenikuta!! wana jf !na ubabu wangu! jana nikashikwa nikashikika nikajikuta nakula chakula nilichokuwa sitarajii kamwe!!Nikashikwa mkono babu babu mala nikaona wameanza kula vitunguu vyangu wameviweka shavu hili wameweka shavu lile nikataka kuzimia na raha! mara ndizi ikatupiwa kule mara kati huku nikaitwa Babu na wewe njoo zamu yako!! kula hii nyama maana tunajua umetoka bara nikauliza hii nyama haijachomwa nakulaje nikaambiwa unaingia katikati ya mafiga unaramba mchuzi Mhn!!! naramba mchuzi niweke ulimi katika nyama mbichi??? nyama yenyewe kama maini! maini simaini ili mradi nikafumba macho Babu wawatu nikaenda kwenye mafiga nakukuta hiyo nyama nzuri imeoshwa swaaaafi!!!!sikusikia harufu ya damu wala shombo kila nilipoweka ulimi nakutana nachumvi ila Tamuuu!!Naona sasa nikijakurudia kwa mwingine itakuwa hivi au??Ila sirudiii!!!ila tembea uone nilisha apa!!Lakini wapi bwana nimewekwa kati nikakuta napiga magoti!!Nawatakia wiki njema!!:-*:high5::rockon::yo::poa
   
 2. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...mnh, mwezi huu wa kwaresma Sabato inaanza saa ngapi vile?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hivi KK hiyo uliyoandika ni kiswahili au kingazija??

  Nimetoka kapa
   
 4. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Ulizia mbele watakusaidia mimi hapa mgeni !!!
   
 5. PAS

  PAS JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2011
  Joined: May 3, 2010
  Messages: 452
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35

  UMETOKA KAPA NA NIN?? Au WAJIFANYA HUJUI..
  HAYA MAANA YAKE KARAMBA PALE KWA MWANAMKE ANAPOZALIWA MTOTO. Jaribu leo pana radha hapakinaishi
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Balaa linakuja ukute nyama inanuka shombo mana nyingine ht uoshe vp shombo halitoki.....kw wenye et mbn inakua na chumvi?
   
 7. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  na hii nayo mpk tuition?!!
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2011
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Ohooo, ushaihukumu hii mada kuwa ya Jukwaa la kikubwa sasa.
   
 9. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #9
  Mar 25, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwani Babu we unatokea wapi? Maana kule kwetu akichinjwa mbuzi zinaliwa mbichi kuanzia tumbo (haya), hadi maini (matuma)...
   
 10. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Ahaaa hiyo ndo Jeifu!!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  dah... we mkare aisee

  Kumbe ile nakshi ni suala la uvinza sio?

  Haya bana ngoja niwahi chemba
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mkuu lugha ina lugha zake ati

  wengine wesema ughani ni ghani katika lugha hasa lugha zinapolughana na si gongana!!

  Ukisia nyama laweza hata kuwa jiwe ati, kiswahi si mchezo, sarifu yaweza kuwa sifuri
   
 13. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #13
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Tafusida mkuu
   
 14. Egyps-women

  Egyps-women JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2011
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :A S-coffee:
   
 15. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Egyps-Women mbona kahawa itakupa presha na unachosoma ukichanganya haya shahuri yako!!
   
 16. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2011
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  Kakaliza looooo nimecheka hatari yaani kila ukija na thread yako nacheka sana haya umefanikiwa kunichekesha sana leo ngoja niende zangu salon, hahahahahahaha lol ubabu wote huo hukuwahi kula nyama?
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Mimi nilikataa kulishwa nyama mbichi ahaaaa!!!!Lakini wapi nimejikuta naila kama mtaalamu baadae nikajiuliza imekuwaje sikupata jibu!!Naona sasa nijilie kuna ninitena kimebaki!!
   
 18. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #18
  Mar 27, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mh! kinyaaa! huyu babu wa loriondo anaweza tiibia magonjwa nyemelezi kama haya? Mh ushamba wangu unanisaidia.
   
 19. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #19
  Mar 27, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,276
  Trophy Points: 280
  Kila kitu na mwanzo wake mwanzo ukifika utajikuta uko huku niliko halafu utaanza kushangaa imekuwaje nimeingia huku????
   
 20. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kakakaaaaa haya bana we kula nyama tu
   
Loading...