kweli watu MNA mambo loh nimecheka sana lohKikwete na membe tuwaulize nini kilifanyika mpaka wakafanana
Na swali lako hakulielewa piahahaa kweli una uzoefu
DuhKikwete na membe tuwaulize nini kilifanyika mpaka wakafanana
mkomageRebecca83 michepuko mingi ni vichwa maji ***** yaani ina wivu kupita mkeo, yaani samtaimz inazingua mpaka kero, wakati unakuta mwanzoni alikuambia ooh tuzae tu sitakusumbua. Tia mimba sasa uone baraa lake.
hahahaJamani watu wawe waaminifu na ndoa zao, wakibugi tu, Mungu hafanyi makosa yaani mtoto wa mchepuko anafanana na wewe kuliko wale wa ndoa.
mbona umeenda mbali mkuuKikwete na membe tuwaulize nini kilifanyika mpaka wakafanana
duhKikwete na membe tuwaulize nini kilifanyika mpaka wakafanana
Mmmmmhh......Kikwete na membe tuwaulize nini kilifanyika mpaka wakafanana
Mkuu mie naambiwa nikajitambulishe... sasa nawaza nikajitambulishe huku simuoi ina maana gani? Je wazee wakipata mshawasha wa kulipa kisasi itakuaje... kweli panapo ukali kulitoka utamu....Rebecca83 michepuko mingi ni vichwa maji ***** yaani ina wivu kupita mkeo, yaani samtaimz inazingua mpaka kero, wakati unakuta mwanzoni alikuambia ooh tuzae tu sitakusumbua. Tia mimba sasa uone baraa lake.
Naomba nieleweshe kidogo katika hili mkuu , maana nilivyokuelewa kwa haraka kwamba watoto wa nje hurithi vipawa vya familia kwa lugha nyepesi huwa tofauti na watoto wa familia in a positive way ?Kama unaijua biblia hata kwa mbali hakika huwezi kuzaa mtoto nje ya ndoa yako.
Watoto wa Nje ya ndoa mara nyingi huwa wanabeba vipawa vya familiaile kama ina uwezo au karama ya uongozi, au karama yoyote ile.
ushauri wangu kama umeoa usijaribu kuzaa nje ya ndoa yako