Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,747
- 128,209
Kuna hali nilikua nahisi kuwa ni kweli, mimi mwenyewe imenipata.
Nilizaliwa mtoto wa kwanza wa kiume kwa mama yangu na alipata mimba bila kukusudia.
Rafiki wa mama yangu nae akapata mtoto wa kwanza wa kiume bila ya kukusudia.
Mimi nimepata mtoto wa kwanza kiume bila kukusudia na wengine wengi ninaowafahamu.
Sijui uzoefu wako wewe mwana jf. Ushawahi ina au shuhudia hii hali... Watu wengi ambao hawajapanga kupata Mtoto huwa wanapata mtoto wa kiume mara nyingi..?
Kizungu anaitwaje???;
Unamjua Nyegere wewe huyu ndi mnyama mwenye wivu na anayeyahusudu mapenzi zaidi ya binadamu.
Kuna hali nilikua nahisi kuwa ni kweli, mimi mwenyewe imenipata.
Nilizaliwa mtoto wa kwanza wa kiume kwa mama yangu na alipata mimba bila kukusudia.
Rafiki wa mama yangu nae akapata mtoto wa kwanza wa kiume bila ya kukusudia.
Mimi nimepata mtoto wa kwanza kiume bila kukusudia na wengine wengi ninaowafahamu.
Sijui uzoefu wako wewe mwana jf. Ushawahi ina au shuhudia hii hali... Watu wengi ambao hawajapanga kupata Mtoto huwa wanapata mtoto wa kiume mara nyingi..?
Hukukusudia kupata mtotoYaani hukukusudia kumfanya??
Naamanisha hukusudi kupata mtoto. Kuna kule kule kufanya as pleasure na sio kushika mimba na pale mwanamke anapoipata basi huwa kama uzi unavyosemaMimba bila kukusudia mh [emoji848] ebu fafanua hapo, maana ikiwa mwanamke kama alikutana na mwanaume kwa ridhaa yake, hapo mimba itakayotungwa ni kuwa alikusudia haijalishi kama ameolewa ama la.
Asante kwa ufafanuzi zaidiWanasayansi wanasema mbegu ya mtoto wa kiume inaspeed zaidi ya mtoto wa kike, ila ina umri mfupi zaidi,
Uwezekano wa kupata mtoto wa kiume kwa kukusudia ni mpaka mke awe na mzunguko unaoeleweka na siku ya kujamiina iwe siku sahihi ya yai la mama kutoka na mbegu za mwanaume ziwe hazijakaa kwenye kizazi zaidi ya 24hrs(means msiwe mmefanya sex before)
Ila kama mlishafanya sex 2/3days kabla yai halijakuwepo basi mtoto wa kike ndo atapatikana manake mbegu za mtoto wa kike zitakuwa ziko fiti kbs
Kwa maelezo hayo means uwezekano wa mtoto wa kiume kwa mipango ni issue zaidi