Watoto wa kiume wakionesha mambo ya kike mitandaoni inaongezeka

nashukuru mzima

JF-Expert Member
Jul 11, 2017
1,014
1,896
Habari.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi ya sasa.

Kumekuwa na ongezeko la vijana wa kiume wenye vishiria sio vizuri wakijiposti katika mitandao ya kijamii karibia yote.

Vijana hao sidhani kama wana nia njema na usalama wa watu wanaowatazama.

Wengi wao wamekuwa wakivaa visuruali vifupi ,wanapost video wakicheza cheza na huku wakiwa wanaongea sauti za kidada kabisa.

Nadhani wanataka Kuhamasisha zaidi tabia ya Ushoga nchini mwetu.
 
Hao siyo watoto wa kiume! Mtoto wa kiume hana mapigo hayo ,hao ni type za kina Delicious au Lokole.
 
Wenyewe wanaona sifa

Kuna
Jaymond
Dullyvan
Steve Mweusi
Joti
Wakuvwanga
Clam
 
Habari.

Tunakoelekea ni kubaya zaidi ya sasa.

Kumekuwa na ongezeko la vijana wa kiume wenye vishiria sio vizuri wakijiposti katika mitandao ya kijamii karibia yote.

Vijana hao sidhani kama wana nia njema na usalama wa watu wanaowatazama.

Wengi wao wamekuwa wakivaa visuruali vifupi ,wanapost video wakicheza cheza na huku wakiwa wanaongea sauti za kidada kabisa.

Nadhani wanataka Kuhamasisha zaidi tabia ya Ushoga nchini mwetu.
papa ndie kiongozi wa dunia alishema kuwa wanao ***** hiyo mikundu ni mali yao
 
Ehh Mwenye Enzi Mungu tuokoe sisi na kazizi chetu na nchi yetu Tanzania milele yote walahi
 
Back
Top Bottom