nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Sasa hilo ni jambo la kujisifia na kufurahia?? Ku forge sex as If aliyekuumba alikosea.! UNATISHA ! Be your Age!!Wala usije ukajisifu kwa ujinga huo tena mlaumu sana babako kwa kukutenga na jinsia yako kwa kudhani anakujenga kumbe kakumaliza kijinsia! Hata hivyo namshangaa mama yako wakati wote hadi unageuzwa kuwa kama kaka zako alikuwa wapi.Madhara yake utayaona ukubwani,Hata hivyo haya uliyoyaleta hapa ni madhara mjumuisho bado yale reja reja.CHUNGA SANA[/COLOR][/SIZE]
anataka nataka mabinti zangu wawe ngangari..Sasa wewe unaye-support kudumazwa kwa wanawake wenzako shauri yako..
baba atasema ' nataka ushindane na uwe kama mwanaume".. Hapa baba hasemi anataka binti yake awe mwanaume au angependa awe mwanaume..
Sasa hilo ni jambo la kujisifia na kufurahia?? Ku forge sex as If aliyekuumba alikosea.! UNATISHA ! Be your Age!!Wala usije ukajisifu kwa ujinga huo tena mlaumu sana babako kwa kukutenga na jinsia yako kwa kudhani anakujenga kumbe kakumaliza kijinsia! Hata hivyo namshangaa mama yako wakati wote hadi unageuzwa kuwa kama kaka zako alikuwa wapi.Madhara yake utayaona ukubwani,Hata hivyo haya uliyoyaleta hapa ni madhara mjumuisho bado yale reja reja.CHUNGA SANA[/COLOR][/SIZE]
Lakini kisaikolojia inamfanya binti aione jisia yake dhaifu kuliko ile ya kiume. Kwanini asiseme "nataka uzidi kuongeza bidii" hapo atakuwa anaongeza ubora wa kile anachokifanya kuliko kutaka kujilinganisha na fulani.
Dahhh hii ni kweliKipindi kile cha nyuma Lakini sasa baba wengiWanapenda wanao wa kikeWAkue kwenye hali ya kikeNa wa kiume wakue kwenye hali ya kiume... Wanapenda kuwaonyesha wanao Wanaweza kuwa wasichana na kufanyaShughuli za kiume...Kuongezea kidogo watoto walio kuliaNa single parent mara nyingi huwa Wanastaili hizo pia.. na wengine ni tabia tu..
Lakini kisaikolojia inamfanya binti aione jisia yake dhaifu kuliko ile ya kiume. Kwanini asiseme "nataka uzidi kuongeza bidii" hapo atakuwa anaongeza ubora wa kile anachokifanya kuliko kutaka kujilinganisha na fulani.
Sasa hilo ni jambo la kujisifia na kufurahia?? Ku forge sex as If aliyekuumba alikosea.! UNATISHA ! Be your Age!!Wala usije ukajisifu kwa ujinga huo tena mlaumu sana babako kwa kukutenga na jinsia yako kwa kudhani anakujenga kumbe kakumaliza kijinsia! Hata hivyo namshangaa mama yako wakati wote hadi unageuzwa kuwa kama kaka zako alikuwa wapi.Madhara yake utayaona ukubwani,Hata hivyo haya uliyoyaleta hapa ni madhara mjumuisho bado yale reja reja.CHUNGA SANA[/COLOR][/SIZE]
Sio lazima mtu alelewe/kuzwe kama mtoto wa kiume ili awe jasiri.Kuna wengine utaishia kuwashushia self-esteem na comfidence tu.Binafsi sikulelewa kama mtoto wa kiume...ila naamini kwamba ni jasiri sana na ujasiri wangu ni wa asili!Sikuhitaji kufundishwa wala kuambiwa fanya hili na lile ili uweze kupambana na watoto wa kiume/wanaume.So mlee mtoto wako vile unavyoona anaelekea....kwasababu tu hayo malezi yalifanikiwa kwako haina maana yatasaidia/kua na manufaa hata kwa kizazi chako kifuatacho!Boys will always be boys....and girls should be raised to be girls!Strong girls not girls with boys features.I am dady's favourite kid na nalitambua hilo na ver proud of it, alinikuza like a man yaani kuwa I can do anything in this world with my three bros and one sisy, niliamini katika hilo na ninaishi katika hilo, ila inaniwia ngumu kumake meaningful relationships like marriage with men coz nawaona they can add nothing in my life than sex n headaches! I want to win every argument and kwa ofisi ni issue as bado mfumo dume unatawala, every thing nakifanya nafanya for my family i.e kids najiona kama baba wa familia as I can do every thing without the assistance of man ila issue inakuja bros wanakimbia wanakuoana kama mtashindana ndani! Sijaweza kuwa na 'shosti' yaani 99% of my i spend with men n i enjoy every bit of it coz kule twadiscuss maendeleo na b'ness tu siyo sijui unafanya hivi mume asitoke ndani! Naamini I will never be like a man coz I va uterus they dont av kuna extremes cant go as woman na kuna extreme they cant go as men tuna tofauti zetu n will never be same ila most issues we can do. Hate men wasio responsible like wanaotunzwa or ambao wako weak, will raise my girls to be like men so as to be able to survive in dis rough world ukiwa soft sana dunia inatake advantage kwako.
Mwalimu sie tulizoeshwa yaaki ukilia kidogo tu, mama lazima akutolee maneno "acha kudeka deka we ka mtoto wa kike"Nimelelewa tokea mdogo kama mtoto wa kike na sijawahi kuambiwa niwe kama mwanamme hata siku moja.
Nikiwa mtoto wa kati baina ya wanaume wawili, nimelelewa kujiona kuwa ni "a little lady" and my brothers were taught to respect me like one too.
Sijawahi kukosa kujiamini, na sijawahi kujiona less of a woman, and I dont wish for that.
Anaefikiria mwanamke ni kuzungumza kuhusu "namna ya kumdhibiti mwanamme au kuwa submissive kwa mwanamme" tayari akilini mwake kuna mfumo dume.
Sasa hilo ni jambo la kujisifia na kufurahia?? Ku forge sex as If aliyekuumba alikosea.! UNATISHA ! Be your Age!!Wala usije ukajisifu kwa ujinga huo tena mlaumu sana babako kwa kukutenga na jinsia yako kwa kudhani anakujenga kumbe kakumaliza kijinsia! Hata hivyo namshangaa mama yako wakati wote hadi unageuzwa kuwa kama kaka zako alikuwa wapi.Madhara yake utayaona ukubwani,Hata hivyo haya uliyoyaleta hapa ni madhara mjumuisho bado yale reja reja.CHUNGA SANA[/COLOR][/SIZE]
Mwalimu sie tulizoeshwa yaaki ukilia kidogo tu, mama lazima akutolee maneno "acha kudeka deka we ka mtoto wa kike"
Jamani mimi kuna kitu nime notice. Kuna baba nasoma nae ni mganda mtu mzima sana alichelewa kuoa na ana watoto watatu, last born wake ana miaka minne. Huyu baba alikuwa anatuambia juzi kuwa yeye hataki kabisa kabinti kake kachezee mwanasesele. Anasema tena hivi yuko na kaka zake, anamnunulia magari, mipira na bastora achezee ili asiwe na tabia za kike. Nikakumbuka baba yangu alikuwa anatuambia angependa sana mtoto wake wa kwanza, dada yetu angekuwa mwanaume kwani alikuwa anampenda sana. Na si kuwa hatukuwa na kaka tulikuwa nao.
Na mimi nikakumbuka malezi nilopewa na baba yangu. Alikuwa hataki kabisa tuwe legelege kama wanawake. Kwa mfano alikuwa ananambia hamna mtu anayeweza kuni beat darasani kwani wanawake na wanaume wote ni sawa. Na kweli nilikuwa napata bichwa basi darasani was always perfoming wonders just to please my dady kwani those early days sikujua hata umuhimu wa kusoma. Na imenifanya hata nilipokuwa college undergraduate kuwashangaa sana wasichana wanavyobanana kwa wanaume kuomba msaada wa kufundishwa hata bila kujua viwango vyao vya uelewa. Yaani utakuta wote mko first year hamjajua bado nani kichwa lakini mabinti wanawaaminia wavulana kuwa ndio wenye akili kumbe kuna wadada wenye akili pia.
Kwa baba yangu ilikuwa hata kumwambia baba nimepata mchumba unafikiria mara mbili maana tulishamsoma alikuwa hapendi tuwe under anybody's control.
Sasa haya malezi yamenifanya mfano mie niwe less femine. I rarely see the difference between me and men zaidi ya sex. Swali langu ni kweli wababa wengi mnapenda mabinti zenu wawe na tabia za kiume? Kama ndio kwa nini? Je kuna binti ambae ameshapata same treatment toka kwa baba yake au mumewe ana treat binti zake hivi?