Watoto wa Kambo wa Diamond Platnumz

Diamond sasa kawa baba...ingawa ni dingi msela.
Ingawa wengine hapa wanawazid hadi wadogo zake diamond
tena kwa "mambo mengi" sana.
ila ndio maisha yalivyo.

 
kumbe ameoa kizee...???? ama kweli mvinyo wa zamani mtamu.
 
Kama ni wa Diamond basi wanamhusu diamond. Kwaheri
 
Kumbe Zari 'ajuza' eenh...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…