Watoto wa Kagame

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,578
Reaction score
28,700
Dah aisee Kagame ana vitoto vya ukweli,
Mukulu asiwatimue wote aiseee, abakizeko baadhi hii specie isipoteee....


 

Attachments

  • 20194_219291921556932_1890014050_n.jpg
    17.4 KB · Views: 10,744
  • 1146618_1379074018987280_1552782719_n.jpg
    30.1 KB · Views: 9,838
  • 994326_572348876160158_108936421_n.jpg
    29.4 KB · Views: 9,939
  • 1070114_212285742257550_958479205_n.jpg
    29.4 KB · Views: 10,486
Ndio mmeona mtujie ki hivyo...hatutaki tumestuka ..hata sisi tunao warembo! Ha ha ha!
 
Umeeambiwa watz ni wagonjwa wa sura izo peleka pumba zako uko
 
Mmeona tukiwahona hao watoto wake tutawahurumia, hakuna hata sisi tunawatoto poa zaidi ya hao.
 
Hawa ni mapacha nini !!! mbona wote kama wanalingana umri!
 
da! kumbe ndo maaaaana.
naskia kule ufaransa eti uwaga hawaitaji visa kuingia hawa.

chezea mfaransa wewe.......

bonjour..... , j' ame vous,
chezea mfaransa wewe.

kama wataendekeza kebehi na matusi kwa rais wetu wakauze izo sura zao ukoukooo ufaransa.


Dah aisee Kagame ana vitoto vya ukweli,
Mukulu asiwatimue wote aiseee, abakizeko baadhi hii specie isipoteee....


 
Hata jk anao watoto warembo tu; sisi wabantu watoto wetu warembo pia! Nani kakwambia hatuna utajiri wa mabinti warembo. Hapa hatuna ugomvi na hao warembo ila dikteta kagame.
 


Wewe unaonaje hapa? Huwezi kuona hata mzee wa Monduli kaona na kaamua kuweka mikono kuficha aibu kilichomsibu?
Teh mkuu kumbe RAIS ajaye naye mambo haya ya kupiga picha na totozi anapenda eenh....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…