Watoto wa Kagame ni warefu balaa

Aisee! Kama wamemzidi hivyo Kagame ambaye huwa namwona ngongoti basi ni balaa.
 
Ukiwqa mtoto wa rais bwana yaani walivyo utadhani nia aSkari kweli
 
Ukiwa mtawala wa hizi nchi za maziwa makuu lazima uhakikishe watoto wako wanajuwa kushika mtutu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…