Justine Makula Nangale
Senior Member
- Mar 22, 2017
- 168
- 58
Soma Ufunuo 6:9-11 uelewe vizuri juu ya hao watakatifu waliopo mbinguni wanasihi nini Mungu na Mungu aliwajibu nini?Wengine tumesoma theolojia,Maneno ya Mungu hayakujichanganya popot.jbo la msingi kati yangu na yako tulilokuwa tukijadili ni "uhalali wa kuombewa na mfu" kibiblia.
ni kweli wafao katika Bwana wamelala kwani wako hai kiroho wanasubiri ufufuo lakini hawana haki kutuombea "(isipokuwa Yesu pekee aliyekufa na kufufuka)"
Jifunze thiolojia sahihi, lijue neno na sio maandiko pekee "Neno" ni Yesu/kweli.
mkiijua kweli itawaweka huru.
lakini naona unachanganya mapokeo