Alikuwa ananichallange post zangu kule MMU
haahaahaa
nahisi hii njemba ilihusika kwangu pia nilivyokuwa junior member
nahisi alinipeleka mchaka mchaka pia
Mh....! Before u post something think twice or count up to three
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Alikuwa ananichallange post zangu kule MMU
Hahahaaaa Ngoja nikatafute link moja nikuletee hapahapa
Ndo keshaniambia
Sawa, ntakutafta....???
Sawa....
Ah teh teh teh.. masai dada, Wewe ni rafiki mzuri, najivunia sana juu yako,always u made mai dei....
jambo la maana sana kaka Mshana Jr.....natumai hawajambo!kabanga sikukuu niliimalizia njiani nilikuwa safarini lakini nilifanikiwa japo nusu na robo dakika kwenda kuwasabahi wazee
jambo la maana sana kaka Mshana Jr.....natumai hawajambo!