Wow sijui ni ujumbe gani hasa ulitaka kuufikisha, kama ni (jina au kiwango cha elimu)ila umenikumbusha 1982 nilikuwa katika kijiji hicho katika harakati za maisha. Kwa kifupi hiyo shule ni mojawapo tu ya shule nyingi zilizonufaika na scheme ya walimu wa UPE. Sasa ukiangalia sana may be kwa wakati ule hiyo scheme ilisaidia lakini mostly ilikuwa majanga. Uki ongeza na mwamko wa wazazi hasa katika eneo hilo kwa miaka hiyo lengo hasa lilikuwa ni kujua kusoma basi beyond that ilikuwa ni ndoto. Shule ilikuwa na walimu wa UPE wote isipokuwa mwalimu mkuu (Mwalimu Daudi) kutoka Bariadi. Anyway it is History asante kwa kuleta hii mada.