Watoto wa big result now

mgusi mukulu

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2013
Posts
715
Reaction score
682
Watoto hawa wa big results now
 

Attachments

  • IMG-20150115-WA000.jpg
    141.3 KB · Views: 1,205
List four effects of discovering of fire.......Du! Hata mimi sijaelewa swali!
 
Amefaulu sana huyo. Mitihani yetu asiyejua kusoma na kuandika ana faulu sembuse huyo anayeandika kwa kiingereza?! Unategemea nini kwenye nchi isiyo na dira?! Rais mwenyewe hajui hata fedha za Escrow kama ni za umma au IPTL, itakuwa mitaala na ubora wa elimu nchini?! Tutaishia kutoa cheti cha heshima mpaka kwa wanafunzi wa chekea kama tunavyotoa PhD za heshima kwa wakubwa wasio na sifa mradi tu wapo magogoni mjengoni.
 
aliyeleta thread nahisi ndio mwalimu aliyesahisha hiyo mitihani

walimu wa voda faster
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…