Durovic
JF-Expert Member
- Mar 13, 2017
- 4,270
- 7,823
Mwambie dada ako (kibinti cha zamani) akufundisheMe too ✋️
Mwambie dada ako (kibinti cha zamani) akufundisheMe too ✋️
dada ake umesikiaMwambie dada ako (kibinti cha zamani) akufundishe
Pia ni njia ya kukubali kuwa amekuzidi. Acha ukorofi wako jamaa yangu.Sawa, ila mkubwa mwenzio akikusalimia ni either anataka kukunyima kitu au kukuomba kitu
Sawa limepita hilo 🤣Nenda kwake ntakununulia daftari ,pensel+ kiftio
Tukutane ukija field tuone kama una kichwa chakujifunza😴Sawa limepita hilo 🤣
Naomba nimlipie Tuition hata ya week mbili akianza field tutakujulishaKwa sababu wote mmesema hamjafanya muda mrefu, basi msaidiane kujikumbusha. Nitawaelekeza mfanye practical, maana haya mambo si ya kujifunza kwa nadharia pekee.
Au mnasemaje?
Kumbe hili ndio lengo lako eti kijanaTukutane ukija field tuone kama una kichwa chakujifunza😴
Dada aiseeeeee unanifanyia hivi 😔Kwa sababu wote mmesema hamjafanya muda mrefu, basi msaidiane kujikumbusha. Nitawaelekeza mfanye practical, maana haya mambo si ya kujifunza kwa nadharia pekee.
Au mnasemaje?
Haya nimeacha ukorofi, marahaba ndugu!Pia ni njia ya kukubali kuwa amekuzidi. Acha ukorofi wako jamaa yangu.
Nimeshakuombea bintiKumbe hili ndio lengo lako eti kijana
Haya fumba macho tuombe
Basi utasoma online!Dada aiseeeeee unanifanyia hivi 😔
Sitakiiiiiiiii ebooooooo
OkayNimeshakuombea binti
Sitaki piaBasi utasoma online!
Ukimuaanda vizuri mwanamke inasaidia ukuni (sijui kwa nini Binti wa zamani anatumia hii symbolism) usiguse mji wa mimbaUmejifunza nini mkuu
Kwa sababu mb*oo zenu zikisimama zinakua kama mti / kuniUkimuaanda vizuri mwanamke inasaidia ukuni (sijui kwa nini Binti wa zamani anatumia hii symbolism) usiguse mji wa mimba
Hahahhhhh umetisha madam halafu mbona unapenda ukuni sana.Kwa sababu mb*oo zenu zikisimama zinakua kama mti / kuni